Kivuko kikubwa cha MV Magogoni kinachofanya safari zake
kati ya Kivukoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo
majini katika bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini
zake kushindwa kufanya kazi.
Naomba kuuliza jamani
10:30 AM |
Hii ni Gari ya mizigo yenye nambari za usajili '' Z 206 CA '' ndani yake ikiwa imepakia mchanga pamoja na gari nyengine juu yake aina ni Suzuki Skudo yenye nambari za usajili '' Z 294 DU'' Picha hii nimeipiga leo nikiwa ndani ya gari maeneo ya Kinyasini Unguja wakati nikitokea Pwani Mchanagani.
Suala langu kwa vyombo husika je hili sikosa? tupe maoni yako hapa.
Subscribe to:
Posts (Atom)






