Hii ni Gari ya mizigo yenye nambari za usajili '' Z 206 CA '' ndani yake ikiwa imepakia mchanga pamoja na gari nyengine juu yake aina ni Suzuki Skudo yenye nambari za usajili '' Z 294 DU'' Picha hii nimeipiga leo nikiwa ndani ya gari maeneo ya Kinyasini Unguja wakati nikitokea Pwani Mchanagani.
Suala langu kwa vyombo husika je hili sikosa? tupe maoni yako hapa.







0 comments:
Post a Comment