Sala ni
ngozo muhimu kwa waisilam swala inamaana ya :
Sala ni
maombi kati ya mja na mola wake.
Sala
inamfanya mja awe karibu na molawake.
Na bwana
mtume muhamad (SAW) amesema katika hadithi yake tukufu ,amesema :
Sala ni
nguzo yadin na mwenye kuisimamisha sala basi ameisimamisha dini yake na mwenye
kui wacha sala basi ameiangusha dini yake.
Na akaendelea
kusema katika katika hadithi ilosahihi amesema ;
Tofauti kati
ya muislam na kafiri ni sala . kwaiyo nduguzangu wakislam tuswalini ilini ili
tuwe waja wema.
Kwani sala
itakuja kuwaombea marafiki zake siku ya kiama na pia itakuja kuombea kaburini.kwani binadamu atakapo kufa na kupelekwa kaburini
vitakuja vitu vi wili kumuombea
rafikiake na hata ukiingizwa kaburini pia utakuwa huna muombezi itakuja sala na
Qur an kuja kukuombea na kaburi litanadi kumwa mbia binadamu kwa kusema :-
Mimi ni
nyumba ya njaa , mimi ni nyumba ya wadudu na mimi ni nyumba ya ubweke
nduguzangu wa kislam.
Swala na Qur
an ndio ita kayokuja kukuombea ,
Sala
inambadilisha mtu awe na Imani na aweze kuwa karibuna mola wake.






0 comments:
Post a Comment